Alhamdulillah it's another Monday,
Kila Siku unapojaaliwa kuamka basi tambua kuwa umepata fursa ya kufanya mabadiliko au kubadilka na kila unapoamka tambua umepewa fursa ya kuifanya leo yako kuwa bora zaidi ya jana yako kwani unakuwa umepewa nguvu ya kupambana zaidi ya Jana yako,usikubali mafanikio yako ya leo yawe ya kiwango cha chini zaidi ya jana yako haijalishi jana yako ilikua mbaya kiasi gani as long as umepewa leo uwezo Wa kuiona Siku hii basi itumie vizuri, tumia kila dakika ya muda wako kuleta mabadiliko na mafanikio katika maisha yako then fanya kila liwezekanalo kuifanya Leo hii kuwa nzuri zaidi ya Jana USIKUBALI KUSHINDWA, AMINI UNAWEZA KEMEA PEPO LA UVIVU JARIBU KUFANYA NA UTAFANIKIWA
#mondayvibes
#hasbunallah
#thestrugglesreal
#INSHAALLAH

CommentBoxEmoticon